Tangu atoe albamu yake ya ARTPOP msanii huyu amekuwa akitumia kila mbinu ya kuhakikisha ameweza kuuza albamu yake.
Katika cover ya gazeti la Candy Magazine, Lady Gaga ameonyesha fashion yake mpya kwa kupiga pozi akiwa nusu utupu.
Mashabiki wa Lady Gaga tumewaachia nyinyi muangalie...(uzuri picha hiyo imewekwa kizuizi 'censored')
Post a Comment