Huddah Monroe kwa mara nyingine ameachilia picha zake mpya kwa mtandao.
Baada ya kutolewa kisanga na mfanyakazi wake wa nyumbani kwa kumuibia pesa, sasa anatafuta mbinu mbadala za kumfanya yeye kupata ajira kwa kutumia mbinu ya kuonyesha viungo vyake vya mwili kama alivyotumia dadake Kim..
Picha za wakati huu Huddah ameweza kuonyesha maungo yake yote na
kujaribu kuzizima zile tetesi zote kuwa yeye ameongeza mwili wake kwa
kuwa mnene.
Hebu cheki hizo picha mpya alizoziweka mpya >>HAPA<<
Zile Picha wakati alipokisiwa kuwa mnene >>HAPA<<


Post a Comment